Wakenya Watoa Hisia Mseto Kuhusu Ripoti BBI

EbruTVKENYA 2020-10-27

Views 29

Hisia Mseto Zinazidi Kutolewa Kuhusu Ripoti Ya Bbi Iliyozinduliwa Rasmi Hii Leo, Wengi Wa Wakaazi Wa Kisumu Wakikashifu Suala La Kubuniwa Nafasi Zaidi Za Uongozi. Washkadau Katika Sekta Ya Michezo Vile Vile Wanahisi Ripoti Hii Haijanakili Vilivyo Jinsi Wanaspoti Watakavyofaidika.

Share This Video


Download

  
Report form