Madereva Na Makanga Wasusia Kuondoka Jijini Wadai Kituo Cha Magari Cha Lunar Park Kitawakandamiza

EbruTVKENYA 2021-04-26

Views 6

Madereva Na Makanga Wameisuta Serikali Na Baadhi Ya Washikadau Kwa Hatua Ya Kuwahamisha Kutoka Jijini Hadi Katika Kituo Kipya Cha Kuabiri Magari Maaruf Kama Lunar Park Katika Bustani Ya Uhuru .

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS