Mwanamuziki Wa Nyimbo Za Injili R. Kigame Kuwania Urais

EbruTVKENYA 2021-08-10

Views 63

Uchaguzi Wa Mwaka Ujao Umetia Mshawasha Wakenya Wa Matabaka Mbali Mbali Walio Na Nia Ya Kutwaa Uongozi Wa Taifa. Mmoja Ya Wakenya Hao Ni Mwanamziki Wa Nyimbo Za Injili Reuben Kigame Anayesema Kuwa Yeye Ndiye Chaguo Bora Zaidi. Kigame Amejiunga Na Msururu Wa Vigogo Wa Kisiasa Kama Vile Naibu Rais William Ruto Na Hata Kinara Wa Odm Raila Odinga.

Share This Video


Download

  
Report form