Kenya Hii Leo Inaadhimisha Miaka 11 Baada Ya Katiba Mpya Kuzaliwa. Ujio Wa Katiba Mpya Ulifungua Mwanga Nchini Baada Mda Ya Mrefu Wa Uongozi Wa Kiimla Pasipo Kujali Wanyonge. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Amekuandalia Makala Maalum Kuhusu Katiba Ya Sasa Na Mchakato Wa Kisiasa Wa Kuifanyia Marekebisho Kufuatia Handisheki Kati Ya Rais Uhuru Kenyatta Na Kiongozi Wa Upinzani Raila Odinga....