Gavana Kinyanjui: Nakuru Imeshuhudia Ongezeko La Virusi Corona

EbruTVKENYA 2021-09-04

Views 0

Gavana Wa Nakuru Lee Kinyanjui Ameshikilia Kuwa Serikali Yake Pamoja Na Wizara Ya Afya Inapania Kuweka Mikakati Dhabiti Katika Kaunti Hiyo Kufuatia Ongezeko La Virusi Vya Corona. Gavana Kinyanjui Anashikilia Kuwa Shule Mbali Mbali Katika Kaunti Hiyo Ndizo Zimeadhirika Kwani Watu 46 Waliaga Dunia Mwezi Wa Agosti Pekee. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi………..

Share This Video


Download

  
Report form