Rais Uhuru Amefutilia Mbali Uamuzi Wa Mahakama Ya IcJ

EbruTVKENYA 2021-10-20

Views 1

Uamuzi Wa Mahakama Ya Kitaifa Ya Sheria Uliopendelea Somalia Katika Mzozo Wa Mpaka Wa Baharini Unazidi Kuzua Mihemko Nchini. Rais Uhuru Kenyatta Ameshikilia Kuwa Kenya Haiko Tayari Kupoteza Mali Ya Wakenya Kupitia Uamuzi Wa Mahakama Ya Icj. Na Kama Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Anavyotueleza Wakaazi Kutoka Kaunti Ya Lamu Wameshikilia Kuwa Watazidi Kuvua Samaki Baharini Licha Ya Mzozo Baina Ya Nchi Hizo Mbili.

Share This Video


Download

  
Report form