Mwanafunzi Wa Darasa La Nane Apokea Kichapo Mbwa Shuleni

EbruTVKENYA 2021-10-21

Views 25

Mwanafunzi Wa Darasa La Nane Anauguza Majeraha Mabaya Yaliyompelekea Kuwa Na Tatizo La Kutembea Vizuri Baada Ya Kupokea Kichapo Cha Mbwa Shuleni.Inadaiwa Mwanafunzi Huyo Alipokea Kichapo Hicho Kutoka Kwa Waalimu Wanne Baada Ya Kupatikana Na Simu Ya Mkononi Shuleni.Kulingana Na Ripoti Ya Hospitali Mwanafunzi Huyo Aliumia Vibaya Katika Sehemu Zake Za Siri…

Share This Video


Download

  
Report form