Inspekta Generali Amewahakikishia Wakenya Usalama

EbruTVKENYA 2021-12-25

Views 23

Inspekta Generali Wa Police Hillary Mutyambai Amewahakikishia Wakenya Kuwa Usalama Wa Nchi Upo Shwari, Huku Akiwataka Wakenya Kuwa Makini Haswa Wakati Huu Wa Krismasi, Hata Hivyo Aliwasihi Wakenya Kutosafiri Na Familia Mzima Kwa Gari Moja, Akisisitiza Kuwa Itakuwa Njia Muafaka Kupunguza Kusambaa Kwa Virusi Vya Covid-19.Akizungumza Akiwa Athi River Kaunti Ya Machakos Aliongezea Kuwa Wakenya Wafuate Sheria Za Barabarani Ili Kuzuia Kuongezeka Kwa Ajali Za Barabarani.

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS