Mahakama ya Upeo imetupilia mbali mswada uliokuwa unalenga kubadilisha katiba ya Kenya

KTNPlus 2022-04-01

Views 6

Mahakama ya upeo imezima matumaini ya kuifanyia marekebisho katiba ya nchi kupitia mwafaka wa kisiasa maarufu kama 'Handshake'. Majaji sita kati ya saba hao, walitoa uamuzi kwamba Rais hawezi kuongoza shughuli ya kubadili katiba kutumia sheria ambayo ilitengewa mwananchi wa kawaida.

Share This Video


Download

  
Report form